Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Mkuu madogo itakua wanakupandisha sukari sana😅
 
2020 kuna mkali mmoja nilifanya nae mchongo mmoja, ikabidi tuonane mpaka nikatetemeka alivyo mtu mzima , now hata akini reply kitu sijibu naishia kucheka au kulike tu😅
Id yako ya zamani nk ipi? Maana umejoin 22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…