Sema shikamoo dada🤣Wewe shindii 😅
Hapo nina watoto wawili.2004 ulikua wapi?
Hapana kwakweli🤣🤣Umeanza mwanamke wew, we hujanikuta na uvulana wangu wewe!!
😂🤣
😅😅 mbona ipoId yako ya zamani nk ipi? Maana umejoin 22
Ni ipi?😅😅 mbona ipo
Sio kweli shindii unataka ninyima mbege wewe🥲Sema shikamoo dada🤣
Mwaka huo nilikua UDSM mwaka wa piliDuh huku tupo na madogo mno😅
Hahahaha shikamoo broMwaka huo nilikua UDSM mwaka wa pili
Ohooooo! Mie kijeba wewe🤣🤣Sio kweli shindii unataka ninyima mbege wewe🥲
Sawa, mjinga mimi ambae nilikupa uvulana wangu, ukanichezea wee, sasa 🥒, limeanza kuisha mguvu unaniona sifaiHapana kwakweli🤣🤣
Nahisi tunaeza lingana😅Ohooooo! Mie kijeba wewe🤣🤣
Mwaka gani?Hahaha naandikaje kwani? Mimi nimesoma udom
Umeandika nini mbona sioni?😂All in all, huo mwaka 2004/2005 ndiyo miaka miwili ambayo niliishi maisha ya raha sana. Kwanza nilikuwa meneja wa Bar na lodge ya familia.
Nilikuwa nalipa mishahara (posho), na kubadilisha wahudumu kila baada ya mwezi mmoja! Na kila intake nilihakikisha nachagua kisu kikali kwa ajili ya meneja! (Sijui hata hawa mameneja wa siku hizi bado wanaendeleza huu upuuzi!!)
Hakika namshukuru Mungu mpaka sasa nipo salama.
ephen_ usisome tafadhali huu upuuzi wangu nilio ufanya miaka zaidi ya 20 iliyopita. Hivi sasa nimeokoka.
Kwahio wakati najiunga JF huyu mleta Mada alikua hana miaka 10? Aagh itabidi nianze kupunguza matumizi ya chumviHahahaha shikamoo bro
Aaah thubutuuuu, nakuzaa wewe.Nahisi tunaeza lingana😅
🤣🤣🤣 kwani wapi nimesema hufai jamani!! Acha kunisingizia.Sawa, mjinga mimi ambae nilikupa uvulana wangu, ukanichezea wee, sasa 🥒, limeanza kuisha mguvu unaniona sifai
😂🤣