Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Aisee kipindi icho ndo namaliza chuo kikuu na naanza kazi serikalini aisee humu bado watoto sana kiukweli
 
Kiongozi huyu wa Ki-Palestina pia alifariki mwaka huo mwezi wa 11 Yasser Arafat, ulikua mwaka wangu nilio maliza elimu ya Sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…