Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Ni mwaka ambao unanikumbusha maduka mengi yalikuwa na hili bango
 
Hili ni tatizo la pili la watu wazima wengi. "Ku assume kwamba vijana tu ndio wanafanya makosa, na kwamba inabidi wawasikilize watu wazima kila wanachosema"
Humu jukwaani hata watu wazima wanatukana wenzao, na kuna vijana wengi tu wenye busara. Busara haziangalii umri, tatizo Bongo mnataka kutuaminisha eti waliotangulia kuja duniani wana busara kuliko sisi tuliochelewa. Mambo ya ajabu kabisa
 
Kijana, wewe kubali tu sikio halizidi kichwa.
 
Kijana, wewe kubali tu sikio halizidi kichwa.
Unaona sasa. Hiyo ndio shida yenu, halafu baadae mnashangaa kwa nini vijana hawawaheshimu
Hakuna mtu anaependa kudharauliwa trust me, awe mtu mzima au mtoto
 
Nilikuwa kazini kagera chini ya mkuu wa mkoa Gen.T.N.Kihwelu

Ni mwaka alianza kunichukia baada ya ujinga ujinga wangu na utoto mpaka kazi ikawa mbaya ,rasmi nikatimka bila kuaga .

Ya kale ni mazuri yasasa yananifurahisha pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…