TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Daah mimi niliomba kuunganishwa na fiber, nikajaza form huu mwezi wa nne hao technician wao sijawaona, nilifany follow up kama mara 2 hivi kuuliza, wanasema wameniweka kwenye list, ikifika zamu yangu watakuja?hawa jamaa ni wazembe balaa, nilichofanya ni kununua line yao na simu simbanet wakizingua najiunga kifurushi kwao
 

Pole sana mzee.
Karibu inbox
 
Kweli kaka nimeruka kama swala walahi ningekuwa sina umakini kidogo jamaa angepita na fito yangu[emoji1787], ila jamaa wenye gari zenye plate number SU, ST...... DFPA huwa wana mwendo wa kibabe sana.


[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] bro
Elezea changamoto zinazokupata pindi unapotumia huduma za TTCL
 


Jipatie simu ya mezani kwa matumizi ya nyumbani na ofisini kwa bei nafuu.
Karibu sana










Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Bw. Nyakia Ally (anayesaini) kitabu cha wageni ameipongeza TTCL kwa huduma nzuri na kutoa rai kwa Shirika hilo kuongeza nguvu vijijini. Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika Chato mkoani Geita.















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…