TTCL badilikeni kwakweli ,mnakuwa kero sana
Huduma zenu hamtoi bure mjue hilo , watu wanalipia
Yani mtu anaomba mje muunganishie fiber Internet na terminal yenu ipo mita 10 na alipo alafu office zenu zipo umbali wa vituo vya basi 4 na mteja alipo
Mnachukua wiki zaidi ya mbili kuja kila siku mnakuja mnakuja ,
Pili swala.la.kukata internet bila reminder wala garce period ya siku 3 ambazo utamchaji mteja bado nalo linawashinda ?
Tatu , utaratibu wenu mpaka mtu aje anunue vocha hapo kwenye office Yenu aendelee kupata internet yani atoke aliko aje hapo kijiyo nyama au mlimani city ni kuboa kwakweli kwani hakuna control namba mtu analioia tu kila mwezi kama ilivyo nssf au dawasco inakuwa ni acc namba ?
Acheni kufanya kizamani. Wakati mnatoa internet nchi nzima