TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Acheni ujinga rudisheni hiki kifurushi vinginevyo navunja laini hiv hamjui hali ni ngumu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole mkuuu jipange tuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole mkuuu jipange tuu
Wanakera wanajua huyu Jiwe kaficha pesa afuu wanatufanyia ujinga kama huu
 
TTCL mnajikuta kama voda sio, nyie ni kampuni ya wazalendo halafu mnajifananisha na mabepari hii siyo sawa, mmeongeza vifurushi tunawahama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona bando tamtam mmeitoa,
Nini tatizo wakuu.?
Boom pack ya mwezi pia imepunguziwa mb's
Bei yake na ya watumishi pack iko sawa.
Naombeni mlifanyie kazi hilo.
 
Bando tam tam kifurushi changu pendwa,sa sijui nitaingiaje tena jei efu?
Kushusha movie na games usiku ndo basi tena?
πŸ™†πŸ»β€β™‚οΈπŸ™†πŸ»β€β™‚οΈ
Ngoja ninunue kvant hapa nipoze maumivu aser
 
Bando tam tam kifurushi changu pendwa,sa sijui nitaingiaje tena jei efu?
Kushusha movie na games usiku ndo basi tena?
πŸ™†πŸ»β€β™‚οΈπŸ™†πŸ»β€β™‚οΈ
Ngoja ninunue kvant hapa nipoze maumivu aser
Serereka wametimka nayo pia, adabu hawana
 
Tamtam bando mmetoa xx mnategemea ntapat kfurush gn kngn chenye unafuu alf jna Nmejiunga Bandika bandua cjatumia mb ata mmoja ela yangu imefia huko mmezingua san asee mi na nyie bas ngoja tutfut kwny unafuu maan mshajion mmepat watej weng mnaaza ubabaishaji
 
Mimi mmenikera mno nilitumia bando vibaya la mwezi nakuja kushangaa eti mmepandisha bei hivyo mpaka sioni pa kujiungia kabisa . Nimehamia voda mpaka nitakapoona nafuu huko kwenu .
 
Yani nyie TTCL mmetoa kifurushi cha intanet cha usiku cha toboa yani mmenikera sana ngoja hasira zipungue nitupilie mbali lain yenu maana hicho kifurushi ndicho kilichonifanya kusajili lain yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…