TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ni wa shauri kitu kimoja.
"WEKEZENI KWENYE INTERNET "
Mkeweza hapo basi mmeshinda.
Speed ya Internet ni tatizo kwa mitandao mingi hapa Tanzania.
Natumia halotel nikikaa ndani Internet haishiki inabidi nitoke nje .na kuna baridi Na mbu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana
TCRA wamesema ni kosa kumiliki laini mbili bila sababu au ruhusa kutoka kwao.
Cha ajabu laini mpya kila siku zinauzwa na mchawi ni kitambulisho chako tu.
Sasa najiuliza hao TCRA nia yao nini ?.
Tusajili laini nyingi ili waje watupate wengi au hawajui wanachotaka..


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kila kampuni ila limit ya kusajili laini yao.
Mfano TTCL ukitumia kitambulisho chako unaruhusiwa kusajili laini zisizidi 5.
Halotel nao laini 5.
 
Ninashukuru sana kwa ushauri wako kaka mkubwa.
 
Hivi wanaolalamika kuwa TTCL network inasumbua inakuwaje mbona wengine network iko 4G muda wote na vitu huwa vinafunguka ndani ya sekunde tu
Ukiwa mkoa tofauti na dar inasumbua mno
hasa vijijini huku .
 
Ila TTCL mmeanza kukua utoto naona mmewaachia Halotel sasa maana wameanza kutoeleweka
 
Hivi wanaolalamika kuwa TTCL network inasumbua inakuwaje mbona wengine network iko 4G muda wote na vitu huwa vinafunguka ndani ya sekunde tu
Tatizo linaweza kuwa ni ubora wa simu wanazotumia, sijaitaja tecno Tafadhali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…