TTCL Corporation: Tuna changamoto ya Huduma ya Mawasiliano, huduma zitarejea haraka

TTCL Corporation: Tuna changamoto ya Huduma ya Mawasiliano, huduma zitarejea haraka

TTCL Customer Care

Official Account
Joined
Aug 18, 2016
Posts
279
Reaction score
317
294398913_10160446491227884_2766928191473915219_n.jpg
 
Huu mtandao unaipa serikali taswira mbaya sana
 
Mlinifaa sana kile kifurushi chenu cha BUFEE version ya kwanza... dakika na mb nimetumia weee hadi juzi kati ndo nimemaliza ila sms hazijaishaga na sidhani kama zitaisha mpaka hiyo 2023 kitakapoexpire

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaetumia huu mtandao?
Mtandao hapo chalinze tu haukamati.bure kabisa hawa
 
TTCL hawana shida kabisa, shida ipo kwa serikali isiyotaka kuwekeza na kushindana na powerhouse operators kama Voda, Axian(tiGO) au Airtel...

TTCL ni kama jirani aliyeachiwa alee mtoto mwenye kwashakoo, na mzazi mwenye mtoto hajaacha pesa ya kutosha kwa matumizi...
 
Back
Top Bottom