sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila , kama wanachimbia chini, unataka ukachimbue au ukaunge?? Maana inaonekani kama unatak hudumaNaombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inapita kwenye nguzo au wapi?
Binafsi kuna mtaa wa pili niliona wanaichimbia chini lakini sasa hapo wakichimba ndio inaenda kwenye nguzo au inakuwaje??
kwa hio mkuu, hio fiber inakuwepo humu kwenye nguzo za ttcl ??Fiber inapita chini ya Ardhi kwa masafa marefu, ila ikifika mitaani inapita kwenye nguzo, Atleast ndio wanavyo fanya huku mjini.
Kunakuwa na Chemba zao za Ardhini wanafunika kabisa na machuma kama ya maji taka wanaandika TTCL.
inatokea wapi, inasambazwaje??inapita chini ardhini.
Nadhani ukiomba landline inakuja na hiyo package...inatokea wapi, inasambazwaje??
Mi nimeunganishiwa hii ya nyaya za kawaida kwa kulipia kwa mwezi. Kumbe TTCL wana huduma ya fiber pia.Fiber inapita chini ya Ardhi kwa masafa marefu, ila ikifika mitaani inapita kwenye nguzo, Atleast ndio wanavyo fanya huku mjini.
Kunakuwa na Chemba zao za Ardhini wanafunika kabisa na machuma kama ya maji taka wanaandika TTCL.
kwa hio mkuu, hio fiber inakuwepo humu kwenye nguzo ??
View attachment 2043928
naona wanajitaidi saizi imekuwepo mikoa mingi NICTBB
Niatajuaje nguzo ya simu ina cable ya fibreHii inaweza isiwe NICTBB, inaweza ikawa Simbanet, Raddy fiber (consortium fiber) au hao TTCL...
Kwa karibu hapo naona kuna mnara wa simu, na fiber imefikishwa hapo ili kubeba na kuleta mawasiliano katika hiyo site
kutoka kwenye minara kwenda kwenye main point zao maeneo mbali-mbali.inatokea wapi, inasambazwaje??
inatoka kwenye minara kwenda kwenye main point zao maeneo mbali-mbali.inatokea wapi, inasambazwaje??
Kwa mara ya kwanza ndio nimeona jana lile chemba chifu lina mfuniko wa chuma kabisa nikajiridhisha baada ya kuona watumishi wa ttcl na gari yao ikiwa paleFiber inapita chini ya Ardhi kwa masafa marefu, ila ikifika mitaani inapita kwenye nguzo, Atleast ndio wanavyo fanya huku mjini.
Kunakuwa na Chemba zao za Ardhini wanafunika kabisa na machuma kama ya maji taka wanaandika TTCL.