TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Yah zipo kama hizi, ila wamepitisha moja tu, hazipo kwa bundle kama hizi
Hata Mjini zipo hivi, kuna uwezekano mkubwa ni Fiber mkuu.

Zile zilikuwa nyingi sababu makampuni ni tofauti hii itakua kampuni moja tu. Huwa wanapenda sana kukunja waya hivyo.
 
Waya ndogo nyembamba sana
Zimekaa mbili kwa pamoja?
Sijui kama utaona hio picha

Huo wa juu ambao ni waya mbili kwa pamoja ndio Adsl sawa na zile waya za simu za zamani.

Wa chini ni wa Zuku, zinakuwa kama Nyanya tatu kwa pamoja, hio Fiber.

Sema Fiber wanatumia Nyaya hizo kama step ya mwisho zikiingia kwenye Nyumba, zile za masafa marefu zinazotumika nje zinakuwa nene.
 
Thanks a lot mkuu!
 
Hata Mjini zipo hivi, kuna uwezekano mkubwa ni Fiber mkuu.

Zile zilikuwa nyingi sababu makampuni ni tofauti hii itakua kampuni moja tu. Huwa wanapenda sana kukunja waya hivyo.
Ahsante mkuu, kesho ntaenda ofisini kwao kuwauliza
 
Waya mbili kwa pamoja, so adsl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…