TTCL Fiber ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako moja kwa moja anakuwa na access ya router yako

TTCL Fiber ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako moja kwa moja anakuwa na access ya router yako

Ibnain

Member
Joined
Jun 6, 2019
Posts
27
Reaction score
26
TTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access Password kabsaa hii kitu ina boa sanaa.

Na hawa jamaa hawakupi access ya router labda hubadili Password hawakupi Ukitaka ku change Password hadi uwa tafute wao ndo waje wa change na unaweza wasubir miezi ndo waje wa change.

Hili linakera sanaa aisee kwanin hawati access hata ya kuchange Password basi waweke security ya mtu kuto share password na QR Code ukisha mjoin.
 
TTCL Fiber Mlangoni kinacho Boa Ni Kwamba Uki Muunga Mtu Atumie Wi-Fi Yako Basi Yeye Moja Kwa Moja anakua na Access Ya Router Yako Anaweza Unganisha Mwengine kwa Ku share QR Code Au Ku Access Password Kabsaa hii kitu ina boa sanaa.

Na Hawa Jamaa Hawakupi Access Ya Router Labda Ubadili Password hawakupi Ukitaka ku change Password hadi uwa tafute wao ndo waje wa change na unaweza wasubir miezi ndo waje wa change.

Hili lina Kera sanaa aisee kwanin hawati access hata ya kuchange Password basi waweke security ya mtu kuto share password na QR Code ukisha Mjoin.
Acha kututosa we ndugu yetu Wacha tutumie,tutakumbuka kwa wema wako!
 
Ni router ipi hiyo exact model, na upo kwenye mkataba gani, wameziba portal ya settings?

Njia moja ambayo inaweza kuwa "rahisi" ni kuunga wifi router yako mwenyewe kwenye hiyo yao kisha unatoa access ya router yako sio ya ttcl ila tatizo la kushare password halizuiiki kiurahisi labda uwe unabadili kila wakati.
 
TTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access Password kabsaa hii kitu ina boa sanaa.

Na hawa jamaa hawakupi access ya router labda hubadili Password hawakupi Ukitaka ku change Password hadi uwa tafute wao ndo waje wa change na unaweza wasubir miezi ndo waje wa change.

Hili linakera sanaa aisee kwanin hawati access hata ya kuchange Password basi waweke security ya mtu kuto share password na QR Code ukisha mjoin.
Hio sio feature ya TTCL bali ni feature ya Android ama kifaa chengine chenye os ifananiayo. Simu zina uwezo wa kushare wifi including kuona password kwa baadhi ya simu. Haijalishi provider ni TTCL, Zuku, Voda, Airtel etc.
 
Tatizo kubwa lilopo awakupi uwezo wa kufanya chochote kama mteja wao ata kubadilisha password lazima uwatafute wao
 
Tatizo kubwa lilopo awakupi uwezo wa kufanya chochote kama mteja wao ata kubadilisha password lazima uwatafute wao
Haujui tu namna ya ku access router yako na ukaifanyia setting, omba watu wakusaidie.
 
Tatizo kubwa lilopo awakupi uwezo wa kufanya chochote kama mteja wao ata kubadilisha password lazima uwatafute wao
unaweza kubadilisha ukiingia kwenye interface ya rooter yako, angalia kwenye sticker kuna jinsi ya kuingia huko unaweza kubadilisha passoword. same to tigo wakikufungia wanakupa password ya wifi wakidhani sijui kila mtu hawezi kubadilisha
 
Sio kwa TTcl wamebalisha password na user name unaweza kuingia kwenye router interface lakn password wamebadilisha zile zilizopo kwenye box huwezi kuingia nazo maana washabadilisha kama alivyosema mdau hapo ni kweli kila kitu lazima uwatafute na wanabadilishia ofisini kwao wala kwako hawafiki, huwezi kuona ni device ngapi zimeunga kwenye router yako wala matumizi yako wala kubadilisha jina la router au password nimecheza sana na hiyo router nimekuja kugundua hizo routers zina costom firmware na zipo kwenye network wana ziaccess wenyewe na hiyo password wala user name hawakupi ata ufanyaje wanasema ni company policy kwa kweli wanakera sana kwa hapo
 
Ni router ipi hiyo exact model, na upo kwenye mkataba gani, wameziba portal ya settings?

Njia moja ambayo inaweza kuwa "rahisi" ni kuunga wifi router yako mwenyewe kwenye hiyo yao kisha unatoa access ya router yako sio ya ttcl ila tatizo la kushare password halizuiiki kiurahisi labda uwe unabadili kila wakati.
Nafikiri huu ndiyo ushauri sahihi.
Kwa nyongeza kwenye router yake aweke static IP address kwa watu anaowaunga kwenye network yake.
Akiona IP addresses tofauti na zile alizo unga anaziweka kwenye blacklist.
 
Hapo kwenye Login user interface wamefanya costume kuna jina langu nimejaribu kuedit kidogo ili kulifuta huwezi kufanya lolote hata ukifanya hiyo router reset inarudi na settings hizo hizo kuna kitu hapo kwenye hiyo router kinaitwa spf ndio kinapokea fiber ni ndio ubongo wa hiyo router ndani ya spf kina run linux software sasa ndani ya hiyo spf kuna customer software ambayo wana kupa namba ndio hizo ukihitaji chochote TTCl lazima uwape hizo namba.ukiangalia online hiyo router ina super admin na password yake lakn kwa TTCl wamefanya yao huwezi kufanya lolote sio kama hizi za mitandao mingine mfano ninayo ya Airtel 5g ila nawesa kuifanya lolote mpakq network lock ila ya TTCl huwezi mfano wa Airtel hata kama umeshau user name na password ukifanya reset inarudi default ila hii ya hawa jamaa ni ngumu kifupi ukiwa nao uwe na access point nyingine uchukue kutoka huko urushe ndio uwaunge watu ambapo utakua na access ya kuona na kuwaondoa ila ukiwaunga moja kwa hiyo divice ya TTCL ujiandae kwenda kwao wakubalishie wenyewe wifi password.roter yangu jina lake ni WAVETEL MODEL G3600
 
Attachments

  • Screenshot_20240827-235046_Firefox.jpg
    Screenshot_20240827-235046_Firefox.jpg
    81.2 KB · Views: 19
Wifi si inakuwa na pwd moja kwa kila AP? Makampuni ebu tandazenoi Fiber nchi nzima na si tuliopo vijijini tuienjoy msipeleke tu fiber kwa Samia Mbweni na Mbezi Beach ,kama hadi Goba kuna fiber why Minjingu hakuna?
 
TTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access Password kabsaa hii kitu ina boa sanaa.

Na hawa jamaa hawakupi access ya router labda hubadili Password hawakupi Ukitaka ku change Password hadi uwa tafute wao ndo waje wa change na unaweza wasubir miezi ndo waje wa change.

Hili linakera sanaa aisee kwanin hawati access hata ya kuchange Password basi waweke security ya mtu kuto share password na QR Code ukisha mjoin.
internet gani ambayo haimruhusu mtu kufanya hayo unayo sema ukimuunganish , router yoyote ile ukisha muunga mtu kwa password yye pia ana uwezo wa kuunga wengine iwe tigo , voda airtel etc
 
Haujui tu namna ya ku access router yako na ukaifanyia setting, omba watu wakusaidie.
Anachoongelea jamaa ni ikitokea password ya kuingia kwenye mfumo huijui hapo hadi uwapigie na hadi waje wenyewe.

Utaalamu wa kufanya setting ukisoma maelezo yake anao shida access ya kuingia kwenye mfumo. Ttcl wana mambo yakibwege sana.
 
internet gani ambayo haimruhusu mtu kufanya hayo unayo sema ukimuunganish , router yoyote ile ukisha muunga mtu kwa password yye pia ana uwezo wa kuunga wengine iwe tigo , voda airtel etc
Ukiunga kwa mac address hawataweza kupeana.
 
internet gani ambayo haimruhusu mtu kufanya hayo unayo sema ukimuunganish , router yoyote ile ukisha muunga mtu kwa password yye pia ana uwezo wa kuunga wengine iwe tigo , voda airtel etc
Router ya TTCL haiwezi kubadili password ndo tatizo, wameondoa uwezo wa kubadili settings zozote za router so ukishampa mtu password anaweza kuwapo hata watu mia hauwezi kuifuta. Solution ndo hiyo hapo juu ya kutumia router nyingine kama middleman, kuna router wanaziita repeater au range extender ni cheap tu AliExpress.
 
sema wewe ndio ujui kubadiri password ya router ya ttcl , ulitakiwa kuja kuuliza nmna ya kubadiri password ya router ya TTCL na sio ulichokuja kusema
 
Hio sio feature ya TTCL bali ni feature ya Android ama kifaa chengine chenye os ifananiayo. Simu zina uwezo wa kushare wifi including kuona password kwa baadhi ya simu. Haijalishi provider ni TTCL, Zuku, Voda, Airtel etc.
Zuku nao ni mtandao wa simu au sijaelewa somo?
 
Back
Top Bottom