Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huko nako kuna ATCL, nyingine???yaani serikali na biashara hasa hizi za kiafrika ni ngumu mno!!!licha ya hao ATCL, kubebwa kwa kuikimbiza, fastjet na kuidhofisha precion , mbona biashara imemshinda?!!biashara sio nguvu bali ni mikakati imala tu.TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote