ricochetmarcus
Member
- Jan 30, 2024
- 7
- 0
Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida.
Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana, inadaiwa chanzo ni kutokana na mnara huo kutumia Mitambo ya Sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo karibu na mnara.
Inakuwa ni changamoto kipindi cha hali ya mawingu.
Msaada hii taarifa iwafikie wahusika wanatutesa kwa kukosa huduma ya Mtandao na mawasiliano kwa jumla.
Pia, soma: Changamoto ya huduma ya mawasiliano ya TTCL kata ya Kikio na Misughaa imetatuliwa