ricochetmarcus
Member
- Jan 30, 2024
- 7
- 0
Acha kusumbua ViongoziTunaomba kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika kata za Kikio na Misughaa mkoa wa Singida. Kuna muda mtandao unakuwa haupo kutokana na mnara huo kutumia mitambo ya sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo karibu na mnara.
Inakuwa ni changamoto kipindi cha hali ya mawingu.
Msaada
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa sawaAcha kusumbua Viongozi
Kaka uko Bondeni?Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida.
Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana, inadaiwa chanzo ni kutokana na mnara huo kutumia Mitambo ya Sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo karibu na mnara.
Inakuwa ni changamoto kipindi cha hali ya mawingu.
Msaada hii taarifa iwafikie wahusika wanatutesa kwa kukosa huduma ya Mtandao na mawasiliano kwa jumla.
Ndio mkuu,,saivi wamerekishaaKaka uko Bondeni?
Kutumia umeme wa solar siyo tatizo, labda kama jua ndo shida..!! Unless otherwise aliye-dimension solar system haku-take into account hali ya mawingu ipoje eneo hilo.Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida.
Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana, inadaiwa chanzo ni kutokana na mnara huo kutumia Mitambo ya Sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo karibu na mnara.
Inakuwa ni changamoto kipindi cha hali ya mawingu.
Msaada hii taarifa iwafikie wahusika wanatutesa kwa kukosa huduma ya Mtandao na mawasiliano kwa jumla.
Apo umenena kaka ,,kungekuwa na solar pannel nyingi ingekua heri.mtu unaamka hamna mtandao yaani signal hamna kabisa ikifika saa tatu kidogo znakuja ila mida ya usiku ndo amna kabisa..alafu nguzo za umeme zipo karibu 🤨🤨Kutumia umeme wa solar siyo tatizo, labda kama jua ndo shida..!! Unless otherwise aliye-dimension solar system haku-take into account hali ya mawingu ipoje eneo hilo.