lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Hivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema wanafanya maboresho...
Swali ni kwamba hayo maboresho gani ambayo hayaishi? Wakati mitandao mingine huwa maboresho yanafanywa kuanzia Usiku Saa 6 mpaka Saa 12 Asubuhi!
===================
JamiiForums imewasiliana na Uongozi wa TTCL kuhusu suala hili, umeahidi kutoa mrejesho kuhusu hoja hiyo ya Mdau.