Wewe wakala au kitu gani ? Hamoa mingine....KERO
Hivi hii kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema wanafanya maboresho... Swali ni kwamba hayo maboresho gani ambayo hayaishi? wakati mitandao mingine huwa maboresho yanafanywa kuanzia usiku saa 6 mpaka saa 12 asubuhi!
Yani makampuni yanayomilikiwa na serikali Afrika effiiciency zero. Waanze kuwa wanatangaza kazi, wakurugenzi wanaomba kazi, wanafanyiwa interview live, na wanapewa mikataba kuwa wataendesha shirika kwa faida bila ruzuku ya serikali na watapokea package za malipo kutokana na utendaji wao kama ilivyo kwa microsoft, apple na google ili kuwapa hamasa.KERO
Hivi hii kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema wanafanya maboresho... Swali ni kwamba hayo maboresho gani ambayo hayaishi? wakati mitandao mingine huwa maboresho yanafanywa kuanzia usiku saa 6 mpaka saa 12 asubuhi!
Uhuru news paperHahaha ndio mdudu gani huyo?
Wana options sio shidaaaNazungumzia kwa watumiaji binafsi sio Wakala...
Unashangaa inakuaje mtu anatumia ttclDuh ama kweli bongo hakuna biashara isiyo na wateja
Hawajawahi kuwa seriousHivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema wanafanya maboresho...
Swali ni kwamba hayo maboresho gani ambayo hayaishi? Wakati mitandao mingine huwa maboresho yanafanywa kuanzia Usiku Saa 6 mpaka Saa 12 Asubuhi!
View attachment 3225805
===================
JamiiForums imewasiliana na Uongozi wa TTCL kuhusu suala hili, umeahidi kutoa mrejesho kuhusu hoja hiyo ya Mdau.