Adolph Sendeu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 269
- 123
Nilikuwa na bado ni mtumiani wa data kupitia mtandao wa shirika la serikali TTCL kwa Modem yenye namba za mawasiliano 0736404059. Nilisitisha matumizi ya mtandao huu mwzi wa saba 2013 kwa sababu zifuatazo
1. Gharama kubwa za matumizi
2. Huduma za vocha kuwa za udanganyifu
3. Huduma hafifu za CUSTOMER CARE
Gharama kubwa za matumizi inajieleza yenyewe kwani ni nafuu kutumia mitandao mingine kuliko kutumia mtandao wa TTCL?
HUDUMA ZA VOCHA KUWA ZA UDANGANYIFU imetikana na nilichikielezwa na wahudumu wa customer care kuwa kuna system/program inayotumika sasa eti haitambui baadhi ya vocha za zamani, mfano vocha batch No. 11534 card No.115340001620 na bstch No. 11534 card No.115340001616 (hizi nilizinunua tar. 1 na 2 mwezi huu wa 4 mwaka huu) pamoja na vocha nyingine zaidi ya nne nilozonunua kati ya Dec. 2013 na march 2014.
Unapowasiliana na c.care kupata msaada huwa nilikuwa naahidiwa kupigiwa simu ili ku-iactivate vocha lakini jambo hilo huwa halifanyiki!
NACHOULIZA NI KWAMBA! JE KWA NAMNA HII SIO KULIHUJUMU SHIRIKA? nami mteja atakayeendelea kutumia huduma hafifu za namna hii? Kuweka vocha tu mpaka uwasiliane na head office Dar! TTCL INAHUJUMIWA!!!!!!!!!