Bei mpya zilikuwa kwenye site yao hivi karibuni:
http://www.ttcl.co.tz/broadband_pricing.asp
Lakini naona wameziondoa.
Punguzo lilikuwa kwenye bundles tu, na bei ya 1MB nje ya bundle ilikuwa inabaki 95TZS. Bei mpya zilikuwa kama ifuatavyo:
1GB => 30,000
2GB => 60,000
4GB => 100,000
10GB => 200,000
20GB => 360,000
40GB => 450,000
100GB => 1,000,000
Inawezekana wameamua kuzificha kwanza mpaka zitakapoanza kutumiaka.
Au inawezekana wameamua kuzipitia upya baada ya kupata feedback za watu kuhusu hizo bei.

Mkuu kwani bei ya sasa ikoje? Nasikia tu bei ipo juu lakini sijui ikoje
Siku 14 zikiisha bado kuna hela, mathlani umetumia shs alf 4 katika hiyo alfu 10 na zimebaki Alfu 6, Zinaliwa!!