TTCL mbioni kushusha bei ya vifurushi

TTCL mbioni kushusha bei ya vifurushi

James Hadley Chase

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
1,984
Reaction score
3,695
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa mkurugenzi mpya wa TTCL bwana Marwa wamedokeza kufanya kushusha bei ya vifurushi amabavyo mwanzoni vilipandishishwa kiholela na ndugu Nape ili kukomoa wananchi

Hivyo TTCL ipo mbioni kufanya mabadiko ya vifurushi pia ambapo MB 1 itauzwa kwa gharama ya Tsh 1.5 tu hivyo kitengo cha masoko kimeambiwa kianze kazi mara moja kabla mwezi huu haujaisha
 
Haya mambo hua yanashangaza sana, maana minajua kwamba hilo shirika linajiendesha kwa hasana na linapata ruzuku kutoka chungu kikuu.
 
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa mkurugenzi mpya wa TTCL bwana Marwa wamedokeza kufanya kushusha bei ya vifurushi amabavyo mwanzoni vilipandishishwa kiholela na ndugu Nape ili kukomoa wananchi

Hivyo TTCL ipo mbioni kufanya mabadiko ya vifurushi pia ambapo MB 1 itauzwa kwa gharama ya Tsh 1.5 tu hivyo kitengo cha masoko kimeambiwa kianze kazi mara moja kabla mwezi huu haujaisha
Ni jambo jema kwa maslahi ya wengi.
 
Back
Top Bottom