Kwa kweli naandika ujumbe huu nikiwa na hasira kwelikweli..na huu mtandao unaoitwa TTCL,.Leo nimejaribu kuweka pesa kwenye akaunt yangu ya T_pesa..ili nijiunge na kifurushi cha serereka weekly bando..cha tsh.1500/=
Cha kushangaza nimekatwa kwenye akaunti yangu tsh.2500/= na nimepewa kifurushi ambacho sijakiomba..kiukweli nimeumizwa mno na utapeli huu..
Kwa staili hii mjiandae tu kupoteza zaidi ya mlichoniibia..na wateje mtawasikia kwenye bomba..
Laini nishaichoma Moto..2020 ntawasiliana kwa kutumia barua tu...