TTCL mnachofanya ni uhuni, GB 1 kwa 2500

Kifurushi ni bure baada ya kununua.
Nataka kuhama Halotel lakini sijui nahamia wapi, kila sehemu wamekaba mpaka penati mbaya zaidi wanakaba hadi kipa.
 
Huu ndo mpango sasa
Kama unatumia halotel...tumia VPN utaingia kwenye social media bure kama JF ,WHATSAPP, TWEET, NK ila kidogo inakuwa slow mm hata sasa sina bando ila nipo JF
 
VPN gani nzuri, Na je unafanyaje?
 
Kama unatumia halotel...tumia VPN utaingia kwenye social media bure kama JF ,WHATSAPP, TWEET, NK ila kidogo inakuwa slow mm hata sasa sina bando ila nipo JF
Unajiunga vipi mkuu
 
Kama unatumia halotel...tumia VPN utaingia kwenye social media bure kama JF ,WHATSAPP, TWEET, NK ila kidogo inakuwa slow mm hata sasa sina bando ila nipo JF
Unafanyaje mpwa tuinuane
 
Back
Top Bottom