TTCL Mobile Broadband - Kilosa

TTCL Mobile Broadband - Kilosa

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,521
Reaction score
1,906
Wana jamii Salaam,


Naomba kama kuna mwanajamii anatumia TTCL Mobile BroadBand ama ana habari juu ya huduma hii katika mji wa Kilosa huko morogoro anijuze juu ya ufanisi wake.
Natnguliza shukrani zangu za dhati

Nyati
 
Huko ni mafuriko kwa kwenda mbele.
Mitandao, huduma zote za kimawasiliano, umeme na miundo mbinu yote havifanyi kazi.
Labda kama leo hali imetulia.
 
Back
Top Bottom