Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,521 Reaction score 1,906 Jan 6, 2010 #1 Wana jamii Salaam, Naomba kama kuna mwanajamii anatumia TTCL Mobile BroadBand ama ana habari juu ya huduma hii katika mji wa Kilosa huko morogoro anijuze juu ya ufanisi wake. Natnguliza shukrani zangu za dhati Nyati
Wana jamii Salaam, Naomba kama kuna mwanajamii anatumia TTCL Mobile BroadBand ama ana habari juu ya huduma hii katika mji wa Kilosa huko morogoro anijuze juu ya ufanisi wake. Natnguliza shukrani zangu za dhati Nyati
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jan 7, 2010 #2 Huko ni mafuriko kwa kwenda mbele. Mitandao, huduma zote za kimawasiliano, umeme na miundo mbinu yote havifanyi kazi. Labda kama leo hali imetulia.
Huko ni mafuriko kwa kwenda mbele. Mitandao, huduma zote za kimawasiliano, umeme na miundo mbinu yote havifanyi kazi. Labda kama leo hali imetulia.