mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
2000 tu kakaLine zao shs ngapi na bado zao ni bei ngani?
sijazicheki nimetumia kwanza ile ya ofa ukinunua line unapewa na 3gb ya week...ntaanza kununua ya ofa nikimaliza2000 tu kaka
Bado? mfano halotel wiki 1500 = 1230 mb2000 tu kaka
Ndio.Line zao zinatumika kwenye simu yoyote?
Naona hii ni Kampuni ya mijini tu na haituhusu watu wa vijijini tena hata mimi yenye ni miwili au mitatu! Baada ya matangazo mengi nilipoenda Morogoro mjini nilijaribu kutafuta laini yao. Hata wauzaji wa laini za mitandao mbalimbali waliniona kituko!Kampunia ya simu Tanzania TTCL imezindua huduma ya 4g/LTE Mwanza. Tumeona speed yenu kwa kweli nimeinjoy leo baada ya kununua line yenu, lakini tunaomba huduma hii ambayo imezinduliwa kwa maeneo hasa ya jiji kwenda barabara ya Airpot mwisho coverage airpot kwenda barabara ya Musoma mwisho Kisesa na kwenda Shinyanga mwisho Usagara.
Tunaomba kama mlivyoahidi kuwa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu coverage itakua nchi nzima muharakishe kwa kweli huduma yenu ni nzuri na mmebadilika kwa hicho kidogo nawapongeza sana. Mdogo mdogo mtafika tuu.
Vocha zao utatafuta mpk utajuta aisee.Naona hii ni Kampuni ya mijini tu na haituhusu watu wa vijijini tena hata mimi yenye ni miwili au mitatu! Baada ya matangazo mengi nilipoenda Morogoro mjini nilijaribu kutafuta laini yao. Hata wauzaji wa laini za mitandao mbalimbali waliniona kituko!
Nunua kupitia MaxMalipo!Vocha zao utatafuta mpk utajuta aisee.
bei ya line ni tsh 2000/= ktk hiyo hela unapewa mb 200 unapewa sms 200, utapiga ttcl kwa ttcl bure mwezi mzima na tsh 1000/= kutoka hiyo elfu mbili unawekewa ktk account yako upige nje ya ttcl kwa kuchajiwa tsh 1 kwa sekunde hadi hela iishe.Line zao shs ngapi na bado zao ni bei ngani?
Ushindani ktk sekta ya mawasilino ni mkubwa. Hawajajipanga vizuri.watu wa Paris wana msemo wao; petit a petit l'ouseau fait son nid! <taratiiiibu ndege humaliza kujenga kiota chake>
Wamerudisha wakati mchina kaisha tandaza waya mpaka mlangoni kwa babu na bibi yako, muda wote huo walikuwa wapi?Turudishieni TTCL yetu jamani
Naona mdogo mdogo inarejea
Utakuja kumkana na babakoWamerudisha wakati mchina kaisha tandaza waya mpaka mlangoni kwa babu na bibi yako, muda wote huo walikuwa wapi?
Na nguvu ya 3G ya mchina ndio 4G ya hicho kilicho rudi.
Hata "mamako" akipata "mpiga show" mzuri unafikiri ataiona thamani ya babako? Thubutu yako.Utakuja kumkana na babako
kisa jirani anapesa kuliko babako!!
Umetajiwa 2000 bei ya laini mkuu sio kifurushiBado? mfano halotel wiki 1500 = 1230 mb