well situmiii ttcl for sure ila nina ka experience na hayo mambo.... inavyoonekana issue kwako ni kuwa unataka kujua ni jinsi ipi utakayoweza kufanya ili uweze kubalance matumizi ya wateja bila kujali utanunua package ya GB ngapi kwa Bandwidth.... kuna njia tofauti ambazo unaweza ukabalance matumizi yako au ya wateja wako hasa kwasehem za public...
1. kuna kitu kinaitwa bandwidth manager.... ni aina ya hardware au software ambayo ina manage matumizi ya bandwidth yako... kwa kukupa uwezo kuwa kufanya filtering, ya kuwa aina ipi ya traffic au protocol iruhusiwe kuingia au kutoka na kwa kiwango gani kwa kutumia IP address za host wako.... pia unaweza ukapangia watumiaji wako wapate throughput ya kiasi gani na kwa mda gani.... kwa mfano ikiwa nina wateja 5 ambao nahitaji wawe na BW ya 128k muxmum na minimum 64k kwa ninaweza nikawaweka wote kwenye group ya 128k au 256k wakawa wana share hiyo BW na nikaweka rules ya kuwa ikiwa kuna atakaye kuwa ana download file yoyote ile bila kijali ukubwa basi asiweze kuruhusiwa ku utilize BW yote kwa maana ya kuwa akiwa ameutilize BW yote 128k mathalani kwa dk1 basi automatic system inamshusha mpaka kwenye 64k ili wenzie wapate speed ile ile ya kawaida so kama file yake ingechukua 10mins kama angekuwa na thruput ileile ya 128k basi atatumia 20min au 30min akiwa kwneye thruput ya 64k..(and its not bad that much) kwani kumbuka ukiwa unadownload kitu kwa kawaida system inakuwa inatoa priority kutokana na aina ya traffic (tunaita QOS) iko busy ku serve wewe ambaye una request ya packet kubwa na wengine wanawekwa kwenye queue.. hapo ndipo watu wanapo experience slowness hasa katika zile nyakati tunazoita peak hours... pia unaweza ukatoa priority kwa protocol au trafiic za ambazo unajua hazitaleta congestion na ambazo watu engi ndio wanatumia... mf. instant messengers traffic POP# na SMTP kwa ajili ya e mails...na HTTP kwa ujumla.. kwani watu hawatalalamika kwa download sana kama atakavyolalamika akishindwa kuingia kwenye yahoo messenger au sykpe.
JINSI YA KU SET UP NJIA HIYO YA KWANZA
unaweza ukapata connection yako kutoka ttcl then ukatafuta hiyo device (BW manager) au ukatafuta software yake uka install katika computer yako yenye sifa ya kuwa server then internet yako ikawa inapita hapo kabla ya kwenda kwa watumiaji kwa ajili ya managing na monitoring. (RECOMMENDED)
2. Njia nyingine ni kutafuta router ambayo ina baadhi ya features za kuweza ku monitor na ku manage bandwidth utilization kama njia ya kwanza ila ni integreted (built in features).. kinachofanyika una filter na kumanage bandwidth kwa watumiaji wake kwa kupitia IP address kama ilivyo kwa njia ya hapo juu... njia hii ni rahisi ila haikupi option nyingi zaidi kwa ina tegemea na vendors wa hiyo device wameweka features zipi ( more features more expensive the devcie becomes) na pia haitoi scallability so ikiwa utataka kufanya mabadiliko unaweza ukakuta device yako haita support then itabidi utafaute nyingine lakini njia ya kwanza unatumia computer yako kama server.. so unaweza ukabadili softwares kulingana na mahitaji yako bila kubadili computer.
NATUMAI NIMEJITAHIDI KUELEZA KWA KADIRI Ya UFAHAMU WANGU najua wataalam wenyewe watatoa michango chanya zaidi
+++++++++++++++++++
IT TAKES 42 MUSCLES TO FROWN BUT IT TAKES ONLY 4 MUSCLES TO STRETCH YOUR HAND AND SLAP THE STUPID PERSON THAT MAKES A FOOL OF U... so Dont GET ANNOYED FOR STUPIDITY MANNAERS FROM A STUPID PERSON.. JUST KICK HIS AS*** and teach him/her lesson

mkuu nashukuru sana kwa knowledge hii, hii itasaidia sana kumanae downloads kubwa kubwa kwa sababu nina uhakika baadhi ya wateja watapenda kudownload files kubwa kwa sababu tu internet ni ya bure. pamoja na hayo ningependa pia kufahamu ulinganifu wa pckg ya 40gb na 64k in terms of speed.
ubarikiwe sana mkuu
Ok ninaweza kukupa jibu fupi la aina hii:-
chukulia bandwidth ni kama barabara ya magari... barabara ya $ ways kwa vyovyote inapitisha gari nyingi kuliko ya njia mbili....hiiyo ndio Bandwidth.... thruput ni mda ambao gari (bits) itatumia kutoka point A mpaka point B kwa kupitia hiyo barabara(Bandwidth) so kasi ya gari (bits) kufika mapema au kuchelewa inategemea ukubwa wa barabara(bandwidth) na Traffic iliyopo
so 40gb obviously itakuwa na speed kubwa kuliko 64K ...
hence 1gb = 1,000,000k
Bila shaka ulikusudia kusema 4 sio $