Ttu ipo kwa manufaa ya nani?

Joined
Feb 7, 2012
Posts
89
Reaction score
24
Jamani hivi hiki CHAMA CHA WALIMU kipo kwa manufaa ya nani? Mi naona bora walimu wa primary wawe na chama chao na wale wa sekondari nao wawe na chama chao,kama ilivyo kwa wakufunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…