zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Gerald Hongolikwema ndugu zangu?
binafsi nimebahatika kukutana zaidi ya mara moja na baadhi ya elites kwenye nchi hii katika maeneo nisiyoyatarajia kabisa...
kuna mmoja ilikuwa usiku, nilikutana naye pale coco beach akiwa in disguise ila nilimgundua, nilishangaa mno ukizingatia alikuwa mtu mzito sana enzi hizo... na alikuwa na binti nadhani mzungu yule, alikuwa na makalio makubwa amevaa vile vichupi vya kamba tu... ilikuwa jioni hiyo karibia saa moja. ila hakujua kama mimi nilimgundua.
kuna Mhe mmoja jina lake linafanana na mwezi wa pili... huyu tuliwahi kugonganishwa na demu enzi hizooo... mimi najua nipo peke yangu kumbe naye yumo... aisee siku tunaonana hakuna aliyeongea tuliduwaa tukishangaana tu... nilicheka sana baadaye.
je, wewe umewahi kukutana ama kusoma ama kuishi na elites katika mazingira gani hapa Bongo?
ni nani huyu mtu?Gerald Hongoli
Elite wa ma Eliteni nani huyu mtu?
ok... how was the incident?Elite wa ma Elite
mkuu, umekumbuka kitu nini? share it with us
Kidemu cha kisingida,could be!?/ Dodoma.kwema ndugu zangu?
binafsi nimebahatika kukutana zaidi ya mara moja na baadhi ya elites kwenye nchi hii katika maeneo nisiyoyatarajia kabisa...
kuna mmoja ilikuwa usiku, nilikutana naye pale coco beach akiwa in disguise ila nilimgundua, nilishangaa mno ukizingatia alikuwa mtu mzito sana enzi hizo... na alikuwa na binti nadhani mzungu yule, alikuwa na makalio makubwa amevaa vile vichupi vya kamba tu... ilikuwa jioni hiyo karibia saa moja. ila hakujua kama mimi nilimgundua.
kuna Mhe mmoja jina lake linafanana na mwezi wa pili... huyu tuliwahi kugonganishwa na demu enzi hizooo... mimi najua nipo peke yangu kumbe naye yumo... aisee siku tunaonana hakuna aliyeongea tuliduwaa tukishangaana tu... nilicheka sana baadaye.
je, wewe umewahi kukutana ama kusoma ama kuishi na elites katika mazingira gani hapa Bongo?
mkuu siwezi ongea deep sasa...Kidemu cha kisingida,could be!?/ Dodoma.
Bongo hamna Elites
elezea mkuu kidogo, how was the young man?RizOne classmate!
mkuu vunga basi?February
February
February
Nawaza kurudi nyuma au kwenda mbele ya mwezi february!
hahah ni famous? wanaweza wakawa huko ila si famous nchini.Ningewasena ila wanangu wengi KITENGO.
TISS sio sawa kuwataja.
He was a great character kwa kweli, pamoja na kuwa baba yake alikuwa na nafasi kubwa, alikuwa anakuja kumcheki mara kwa mara ila Riz hakuwa na majivuno wala.elezea mkuu kidogo, how was the young man?
Huyu unknown creature kefanyaje?Steve nyerere