Tu vitu vitu tulivyojiri mechi ya Simba vs Ruvu

Mpapaso square!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tena kulikuwa nΓ€ kiongozi mmoja ana mdomo huyo. Ameacha na mambo ya mpira kabisa. Chezea Lunyasi.
 
Pamoja na hayo...nimeanalia clip kuhusu magoli ya Okwi na Salamba...nikashituka, nikashangaa na nikajiuliza mengi...naishia hapa kwa sasa...
Mkuu kwa Simba.. Acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…