Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri, Nimekuelewa sana.
 
Wewe mtu mbona unaongea uongo Sana? Huu Uzi nilikuwa wapi sikuona huu uongo hapa

LNG haijaanza kuzaliswa mtwara? Kile kinachozalishwa mnazi bay na madimba ni nn?
LNG inazalishwa Mtwara maeneo gani boss, tunaomba tujuze. Na hiyo LNG wanayoizalisha wanaiuzi wapi? Tujuze tupate kuelewa na sisi.
 
Kongole boss..nimekubali wewe Ni mtaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…