Tuache kujichubua

Binadamu huwa haturidhiki hasa Wanawake wengi kwa upande wa Jinsi ambavyo Mungu alivyotuumba.
Umepewa ngozi nzuri nyeusi na ya Kung'aa na wewe unatafuta vipodozi unaanza kujiunguza ngozi ili upate rangi unayoitaka, kwani Mungu alikosea Kukupa hiyo rangi ya ngozi ?
 
Huyu mother hadi nikauliza ni mgonjwa?? Nikapewa jibu hilo la Title yako.
 
Kuna mama, umri umekwenda, anafanya biashara ya kuuza mahindi ya kuchoma, anajichubua kwa faida kidogo anayopata. Hayo ninaona ni mateso, joto lile la kuchoma mahindi linaikaanga ngozi yake, badala ya kupendeza akawa kideo. Ni dhambi kubwa kumkosoa Mungu katika uumbaji wake. Ni kwa nini asikufanye mzungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…