Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

Rekebisha kifungu no 3: Yanga wanapata wapi ujasili wa kutudhalilisha kiasi hiki?
 
Mtu mfupi umeongea point leo
 
Ungetaka nitoe Ushauri basi nawe usingekuwa na Kiherehere cha kutoa huu wako sawa?

Ushauri pekee ninaoweza Kuutoa ni kwa wana Simba SC wote ( Mimi na Wewe ) kuanzia sasa tujiite ni Wapumbavu na Wateja Waandamizi wa Yanga SC.
 
Kama ndo hivi lazima Yang'a utopwox wafurahi...ona boss wao alivyoandika ujumbe wa furaha
 
Hongera sana kwa yanga, lakini simba wamejua kutudhalilisha...... yani tumepigwa mpaka hatujui tumlaumu nani kila mtu anaongea..... kila mtu analalamika, sijalala ndugu zangu, yani nilikuwa nastuka stuka najiuliza kulikuwa na nini kwa mnyama kile kipigo daah kimetukata sana, na tunaumaliza mwaka kwa huzuni sana kwenye upande wa soka, sijui wachezaji au benchi au viongozi kwakweli bado tuendelee kuwa na utulivuu tukisubiri wakumla kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…