Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

Shadeeya, Bantu Lady, Nifah, na Pisi Kali tele za Yanga SC wanakusubiri pale wakuliwaze Kolowizards, kila la heri Mtani [emoji1732][emoji125]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Chagua Wewe.
Hatuwezi kunyamaza, hata wewe huwezi kunyamaza lazima ujifariji na zile 5-0 za 2012.

Zile 5-1 za jana tulizitaka wenyewe kwa kumponda kipa makini Ally Salim kisa alifungwa na waarabu 😁😁 kisha tukamweka Manula yule kipa kibonde kwa Yanga na akiwa bado mgonjwa, hakika hizo 5 tumezitaka wenyewe.

Tafadhali acha tuendelee kujifariji na zile za 2012
 
Dharau na kujiona makamu Bingwa wa afrika ndiyo imewagharimu wekundu
Zifuatazo ni dondoo

* nyinyi ni wa kufungwa na ihefu tu sio wa kuifunga simba

* nyinyi mmefika fainali kombe la Malooser ikiwemo kumfunga Marumo aliyeshuka daraja

* nyinyi munafunga kmc , Jkt kwa bahasha

* tumechukua ngao ya jamii huku ball possession yenu ikiwa juu

* sisi ni wa kimataifa hata Al ahly anatujua

* Robertino kiboko yenu
 
Wao wanasema wana makombe mengi mara ooh imeshamfunga sana Simba sasa sisi tukiweka kumbukumbu zetu imekua kosa??? 😀 😀 😀 😀 🐸 🐸 🐸 🐸 🤣 🐸 🐸 🐸
Mwenzenu ameongea kisoka zaidi nyie mnaleta ushabiki maandazi.
 

Tumekubali mmetukanda mtuwache kidogo wakuu....!!!! Tumekubali yanga ni bora msimu huu[emoji1487][emoji1487]
 
 
Simba kwanza imsajili Hersi na GSM mengine yatajipa tu.
 
Mh ila tano nyingi sana,jana baada ya kipigo nikaenda agiza chapati tano,kwani nilimaliza??nikatoka hapo nikaenda zangu home kumla demu angu nikataka kumpiga vitano,wakuu nliishia vinne tu tena nikawa hoiiiiiii..looh TANO NYINGI.
 
HATIMAYE UMETUBU!

HATIMAYE UMETUBU!

HATIMAYE UMETUBU!

HATIMAYE UMETUBU!

HATIMAYE UMETUBU!

HATIMAYE UMETUBU!

HATIMAYE UMETUBU!


Kilichobaki ni kuja kukuchukua hapo ukwamani na kukupandisha Karandinga kukurudisha Butiama kupitia pale Nyamuswa na Ikizu ili ukabatizwe,maji yatakayokubatiza ni yaleyale uliyoyataka wewe yaliooshea Madegere,Furu na Sangara!.
 
Umenena vyema Genta...

Cha kukumbuka pia...

1. Simba alifanikiwa mfunga Yanga magoli mengi (6 na 5) yeye akiwa mwenyeji/nyumbani.
- Yanga kamfunga goli 5 Simba akiwa ugenini.

2. Hadi tarehe 05 Nov 2023 ni timu ya Simba pekee ndio ilikuwa haijapoteza mchezo wowote ila Yanga akamfunga na kumfanya apoteze

Ndio maana, Ushindi wa Yanga katika Derby tajwa umewafurahisha mno Yanga na kuwahuzunisha mno Simba.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].......
Mkuu naona tangu juzi, vidore umevifunga kamba visiandike chochote, kama ilivyo kawaida yako ya kushusha nyuzi mfulilizo.
Hahahahahahahaha...hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…