Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

TUlizeni mshono wa nyuzi 5 huo..Ndio kwanza mmetoka labour mntaka kuanza kupuyanga nyie viguu na njia
 
Robertinho katolewa mbuzi wa kafara tuuu
 
Au vipi, basi tuseme FRESH !!!! 🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • JamiiForums-799408807.jpg
    152.6 KB · Views: 2
 
Na yamewakuta kweli

Aahaaaaa
 
Huu ndio Ushabiki sasa umebase katika FACT

Sio ushabiki maandazi na wa hovyo wa kukataa ukweli
 
mkuu lyoed nchunga ?

sio kwamba alikua anaitwa imani madega chief ndiye aliye tishiwa kuuwawa na wananchi?
 
Makolo yanaruka na kukanyaga,yanaruka kinyama×2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…