Nawajegeja
Member
- Sep 25, 2021
- 30
- 42
Basi mfukuzeni msajiri mwinginesisi tunachotaka striker afunge hayo mengine anayo offer ni nyongeza tu. offer magoli, magoli magoli hayo mengine ayaache.
Afu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......Nimekuja mbio kuona hayo mengi aliyotufanyia nikajua labda nimesahau umeyaweka hapa ili tukumbuke wanasimba wote.
Mugalu ni mchezaji wa mechi ndogo hajawahi funga goli kwenye mechi yoyote kubwa na yenye presha licha ya kuaminiwa mara zote.
Lazima tumlaumu kwani ni nafasi za wazi anapoteza kwenye mechi muhimu mfano game ya kaizer chiefs
Huwa unaangalia mpira kweli ?Morrison kipind tunafungwa kwenye ligi alikosa sana magoli ila kwa akili zetu tukaanza kumtetea kuwa eti yanga waliroga sana, lakini kwa Mugalu aliyetupa furaha msimu ulioisha tumeanza kumtukana hadi kutaka kukufuru.
Mugalu hajawahi kuamua Match tofauti na Morrison
Hiyo penalty alikatwa Boko akapiga BokoAfu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.
Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Kuna mtu kakata hilo?Hiyo penalty alikatwa Boko akapiga Boko
Hizo mechi ndogo ndizo ambazo ziliifanya simba ikachukua ubingwa ikaenda hadi kukutana na hao kaizer chief.Nimekuja mbio kuona hayo mengi aliyotufanyia nikajua labda nimesahau umeyaweka hapa ili tukumbuke wanasimba wote.
Mugalu ni mchezaji wa mechi ndogo hajawahi funga goli kwenye mechi yoyote kubwa na yenye presha licha ya kuaminiwa mara zote.
Lazima tumlaumu kwani ni nafasi za wazi anapoteza kwenye mechi muhimu mfano game ya kaizer chiefs
Na kwa mechi ya juzi bado isingekua rahisi yanga kukubali kufungwa na simba mara mbili mfululizo.Wote tulishuhudia mechi ya kigoma ambayo simba ilishinda kwa mbinde na ilikua kwenye fomu kuliko yanga. na sasa iangalie yanga kwenye mechi ya juzi alafu tuambiane simba bado ingeweza kuifunga yanga.tupunguze ushabiki maandazi tuangalie ukweli.Ligi ikishakolea ndo kila timu itakua imeshapata muda wakumsoma mwenzake kwahiyo wakija kukutana kwenye ligi ndo tutajua yupi yuko vizuri zaidi.Mimi nimeridhika kabisa tulivyofungwa juzi chamsingi kocha afanyie marekebisho mifumo yetu ya uchezaji.Ni katika kujifariji tu ila ukweli nyau mbele ya yanga huwa Ana mbwela sana sio mechi ya juzi tu karibu mechi zote
Kuna mtu kakata hilo?
Yaani boko kuingia na timu kupata penalt ni mipango ya kocha why kama ni hivyo usiseme ni mipango ya refa maana gomez hahusiki chochote na ile penalty na boko ndio mpiga penalty wa simba angeweza kuingia na timu isipate hiyo penaltyAfu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.
Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Mugalu hajawahii kutubeba mechi yoyote ya maana kwa kifupi ni striker mzembe na makosa ya kina bocco na morisson hayahalalishi uzembe wakeAfu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.
Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
Umenena kweli mkuuMugalu hajawahii kutubeba mechi yoyote ya maana kwa kifupi ni striker mzembe na makosa ya kina bocco na morisson hayahalalishi uzembe wake
Bocco hii tabia ya kukosa penalty hasa kwenye mechi tunayohitaji matokeo kulko chochote imekuwa endelevu. Imefikia hatua nakuwa na shaka nae. Kwanini asijiongeze binafsi akaacha kuwa mpigaji kama Nyoni yupo uwanjani? Hii ya kusema atafutiwe ufungaji bora aachane nayo ila ashiriki kwenye kuitafutia simba magoli hata asipotia mpira kambani.Hujaweka taarifa ya Boko kukatwa. Mtu atahisi hiyo penalty labda beki alishika au Boko hakuhusika moja kwa moja kwenye kutengeneza halafu penalty akapewa Boko.
Naikumbuka hii majungu ya waziwazi yaleAfu naona kila anayejiskia kuongea kuhusu mugalu anataja mechi ya kaizer......
Nikumbushe ile mechi alikosa nafasi ngapi? Na boko pia alikosa Ngapi?
Maana chance clear kabisa nakumbuka ilipotezwa na Boko, ukiweza naomba nione hiyo video anavyopoteza chance......
Ila ukiitaka ya Bocco ntakuonesha.
Tunajisahaulisha kuwa, msimu uliopita Mugalu alikuwa anaenda kuchukua kiatu, tukaona tumfanyie mazingira Bocco.
Anaingia dakika za mwisho anapiga penati, na sifa zote zinaenda kwake.
tumepigwaaKwangu mimi Mugalu tangu asajiliwe Simba sijawahi kumuelewa hata kidogo sio juzi tu
Kwangu mimi ni bora ya Kagere kuliko Mugalu
supportedMugalu hajawahii kutubeba mechi yoyote ya maana kwa kifupi ni striker mzembe na makosa ya kina bocco na morisson hayahalalishi uzembe wake
Mkuu Jose naona umefukua hili kaburii