Tuache kumlaumu Mwl. Nyerere! Kosa ni la kwetu wenyewe!

Inasikitisha kuona baadhi ya watu wakibedha uongozi wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J.k. Nyerere kwamba alikuwa mbaguzi kwenye suala/tasinia ya elimu...

Hebu tuache kumlaumu Mwl. Nyerere! Kosa ni la kwetu wenyewe.

Unapoteza muda wako bure kumpigia mbuzi gitaa.
Wafuasi wa radio iman ni watu ambao wako frustrated kwa mambo mengi kutoenda kama wanavyotamani. Wapo fragmented, wamekosa kitu cha kuwaunganisha. Wameamua kutumia common hatred towards Nyerere na ukristo kama kitu pekee cha kuwaweka pamoja. Hata ukiwaeleza ukweli gani, hawataukubali kwa vile ukweli utavuruga mshikamano wao uliojengwa kwenye misingi ya uongo. Ukiandika uongo ambao unashambulia ukristo na Nyerere hapo ndio "wanakuelewa".

Kwa hiyo wewe waache tu wadanganyane lakini mwisho wa siku ukweli utasimama peke yake.
 

J.Kikwete akiwa waziri wa mambo ya nje,awamu ya pili(Alli Mwinyi akiwa rais wa Tanzania) aliwahisema nigeria ilipokuwa inaelekea kupata uhuru, imam mmoja maarufu kule nijeria aliwaambia waislam wasome elimu ya kimagharibi sana ili washike nchi. Waislam wakampuuza. Nijeria ikapata uhuru toka kwamwingereza. Wakakumbuka maneno ya imamu wao. Kilichofuatia kila mtu anajua ni nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…