Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa makosa ya mtu mmoja. Mfano mzuri ni sisi wapare kuna kabila dogo la wagweno ambalo mtu aweza dhani ni wapare.

Kwahiyo kosa la mgweno haliwezi kuwa kosa la wagweno wote na kwa hakika haliwezi kuwa kosa la wapare.
 
Sawa tutaacha kuwaita hivyo, ila sasa inabidi utoe jina mbadala ili wasiitwe tena sukuma gang.
 
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa makosa ya mtu mmoja. Mfano mzuri ni sisi wapare kuna kabila dogo la wagweno ambalo mtu aweza dhani ni wapare. Kwahiyo kosa la mgweno haliwezi kuwa kosa la wagweno wote na kwa hakika haliwezi kuwa kosa la wapare.
Wewe mpare wawapi!? Njoo mgagao nikupe nyama choma!! Avae
 
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa makosa ya mtu mmoja. Mfano mzuri ni sisi wapare kuna kabila dogo la wagweno ambalo mtu aweza dhani ni wapare. Kwahiyo kosa la mgweno haliwezi kuwa kosa la wagweno wote na kwa hakika haliwezi kuwa kosa la wapare.
Uko na point kwenye hili, ila Sukuma gang siyo kwamba inamaanisha Wasukuma kama kabila, Wasukuma ni watu poa sana
 
Back
Top Bottom