Wewe mpare wawapi!? Njoo mgagao nikupe nyama choma!! AvaeNdugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa makosa ya mtu mmoja. Mfano mzuri ni sisi wapare kuna kabila dogo la wagweno ambalo mtu aweza dhani ni wapare. Kwahiyo kosa la mgweno haliwezi kuwa kosa la wagweno wote na kwa hakika haliwezi kuwa kosa la wapare.
Uko na point kwenye hili, ila Sukuma gang siyo kwamba inamaanisha Wasukuma kama kabila, Wasukuma ni watu poa sanaNdugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa makosa ya mtu mmoja. Mfano mzuri ni sisi wapare kuna kabila dogo la wagweno ambalo mtu aweza dhani ni wapare. Kwahiyo kosa la mgweno haliwezi kuwa kosa la wagweno wote na kwa hakika haliwezi kuwa kosa la wapare.
MnyaBurundiAlikua kabila gani??
Hakuwa mtanzania, so hakuna kabila analo belong. Aliwahi kujifanya ni MhayaAlikua kabila gani??
Haya nakujaNipo jozo stationery same mjini