Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard:

"Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiuzulu tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi) kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika,"

MUNGU FUNDI
 
Hapana, kwanini viongozi wote hawakufanya hivi? Kwanini wachache ndio waliamua kujitoa akili.
 
Back
Top Bottom