Tuache masihara, idara ya FBI ya Marekani wako Sayari nyingine kwenye mambo ya uchunguzi wa makosa ya jinai

Muulize Thomas Lyimo yeye atakupa uhalisia na maana kamili ya hawa FBI. Ama Chenge alivyotiwa nyavuni na vijisenti.
 
Kwetu sisi faili la kupigwa Lissu zaidi ya Risasi 20 mchna kweupe na tayari limefungwa. Ni watu wasiojuilikana
 
Ni yule mshukiwa wa mabomu .. ebu tupe story halisi.. naiskiaga juu juu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule alikuwa Mtanzania wa kwanza kupanda ndege na kuingia marekani bila visa jamaa walikuja kumdaka kama kuku. Au yule mzanzibar waliyemuibua Afrika ya kusini anapika jikoni hotel moja. Hawa jamaa hawana uongo nashangaa mtu anatoa mimacho kujidai hatuwezi kushindwa vita.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Ila mm nilipoiba $27228728b mpaka leo hawajajua n nani alifanya umafia ule
Utani kama huuuu ndio unaomponza Macedemelo Mubyazi wa Jamii Forum na Mwenzake Mike Mushi kuwa na shida akiiambiwa aende akatoe ushaidi wako au apeleke jina lako. Achaa Utani unamuuumiza mmiliki wa Jamii Forum
 
FBI HAMNA KITU KUNA WALE JAMAA WA SCOTLAND NA MOSSAD NI HATARI MKUU
 
Connection inaharibu sana utenda kazi ofisi nyingi hasa government ndo shida zaidi, Kuna vitengo vinahitaji vipewe wasomi na wenye maadili kwenye jamii, Ila wengi kwenye kazi maalumu wapo kwa kutumia vyeti feki ndo maana ile issue ya vyeti ilitakiwa isibague maana ndo chanzo Cha kuharibu kazi .
 
Utani kama huuuu ndio unaomponza Macedemelo Mubyazi wa Jamii Forum na Mwenzake Mike Mushi kuwa na shida akiiambiwa aende akatoe ushaidi wako au apeleke jina lako. Achaa Utani unamuuumiza mmiliki wa Jamii Forum
Unanijua.?
 
Bora Thomas aliponea akaachiwa, wenzie walikufa vifo vya utata tu. Yule mzanzibar akapelekea Guantanamo...amekaa saa akaachiwa free tu.. hata mwezi haukuisha baada ya kuachiwa na bin Laden akauwawa.
 
Utani kama huuuu ndio unaomponza Macedemelo Mubyazi wa Jamii Forum na Mwenzake Mike Mushi kuwa na shida akiiambiwa aende akatoe ushaidi wako au apeleke jina lako. Achaa Utani unamuuumiza mmiliki wa Jamii Forum
🤣
 
Kuna hii hapa ya siku nyingi sana lakini bado wanaendelea kuifanyia kazi

Hivi yule aliyemuua Padre Zanzibar walimpata?
 
Tunalinganisha taasisi za mataifa yenye miaka 200 ya uhuru vs miaka 50 ya uhuru

Aisee
 
sijawahi kusikia Askari proffessor ama Dr!!?
tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…