tff ilielekeza vilabu vyote viajiri wasemaji wao lakini hivi karibuni naona hii haifanyiki hasa klabu ya simba.
Sasa hivi kila kitu utamuona mwenyekiti wao anauza sura kwenye vyombo vya habari. Huu si wakati wa kampeni hebu waandishi wa habari fanyeni mgomo mara ajitokezapo kuzungumza masuala ya klabu hiyo, mwelezeni mnamtaka msemaji wa klabu na si kuleta politiki tu.