Tuache ubaguzi wa kidini, kikabila na hata Rangi

Tuache ubaguzi wa kidini, kikabila na hata Rangi

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
421
Reaction score
728
Je wapalestina hawana mtetezi mbona Marekani anashabikia watu kupigwa mabomu kwa kupeleka manowari za kijeshi huko
Mashariti ya Kati!
This is a UN weakness it's a biased Body controlled by super power countries.
The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians .
I'm standing with Humanity instead of those who's killings innocent people
 
Iweje sisi weusi tunawaonea huruma zaidi Wapalestina na Wayahudi kuliko weusi wenzetu wa Somalia, Sudan na DRC au hata waliokuwa wanapigana kati ya Tigray na serikali ya Ethiopia?
Au waarabu na wayahudi ni binadamu zaidi ya wengine?
 
Back
Top Bottom