lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Takribani week 3 hivi, toka Godbless Lema atoe maoni yake juu ya bodaboda! Wapo waliompongeza na wapo waliomkebehi.
Suala hili liliwahi pia kuongelewa na Edward Ngoyay Lowassa (waziri mkuu mstaafu) lakini yy alieenda mbali zaidi ila ujumbe ni uleule.
Tuache Uchale Chaplin, taifa ni letu sote godbless na mh lowassa katika matamko yao lengo lao ni taifa kwanza.
Lowassa yeye alisema " vijana, wanaachwa wanazurura na biashara zisizo rasmi, hili ni bomu kwa taifa likilipuka patakuwa hapatoshi" mwamba huyu alishauri ujenzi wa vyeo vya veta , vijana wapare elimu ya ujasiriamali ili wapare juzi na kujiajiri.Opopo
Godbless yeye kasema bodaboda siyo ajira. Hapa ukiweka mbali, uchale chaplin na ukalitanguliza taifa mbele. Utaona mh lowassa amejitokeza tena.
Hii shughuli ya bodaboda ,isiwe kichaka cha serikali ya mtaa , kijiji, wilaya, mkoa au taifa kujifichia na kudhani wametoa ajira kwa vijana.
Tukubali vijana ni bomu la taifa linalohitaji kuteguliwa, tukubali bodaboda kwa mtindo uliopo sasa, kijana aliyemaliza la saba au asimalize anawaza bodaboda kama ajira hiyo hapana.
Elimu ya veta iunganishwe na bodaboda, hivyo muhitimu wa veta ni mjasiliamali sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu, bila kuleta ujuzi wa malumbano.