Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari wana jf, habari za siku nlihamia kidogo jukwaa la michezo maana mambo ya siasa yamekuwa ya moto kweli .

Nimekutana na comments nyingi kuhusu Slaa kwamba haaminiki upande wa upinzani hivi katika mazingira haya wa kumwamini ni nani ? Upinzani au Dkt. Slaa?

Na tulitegemea afanyaje?

JamiiForums-72271314.jpg~2.jpg
JamiiForums-2089014366.jpg


NAJUA HUWEZI ONA CHADEMA hapa​
 
mzalendo wa kuhongwa ubalozi avune alichopanda au mataga ya dikteta muende mkamuwekee zamana.
Kushinda vita mbele yetu tunahitaji kuwa wamoja.

Hashim Runge akipata shida mtamwacha sababu hayuko CDM?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Slaa atashinda na Tanganyika tutashinda.... Ukiona serikali inatumia nguvu bila maarifa tambua ndio anguko lake... Soon huyo Bibi ushungi tutamlia matanga pale Taifa stadium.... Maombi ya wengi hayajawahi kutokujibiwa.
 
Back
Top Bottom