Tuache unafiki kiwango cha Simba kiko chini mno

Shabiki wa majini fc unajifanya shabiki wa Simba [emoji848] tunachotaka sisi ni kushinda sio timu imecheza vizuri au vibaya hilo lenu la majini ni huruma za refa tuu zinawaokoa msihadhirike
Kuna watu huwa mnajimilikisha ushabiki wa timu na kuzuia wengine!! Tangu lini 1979 akwa shabiki wa Yanga?
 
Mashabiki wa bongo buana,kwahyo unadhani wachezaji wanatumia mafuta wale??
 
Shida sio simba kushuka kiwango bali mapumziko ndio yamesaidia sn timu zote kua hivyo angalia hata yanga ndio anashinda lkn Kwa mbinde it’s like ligi imeanza upya
 
Wachezaji kwa sasa utimamu wa mwili umeongezeka mechi tunashinda icho ndio muhimu

Ukumbuke unacheza na timu zinazojiandaa na kutaka point 3 pia ni Timu za ligi kuu sio umiseta.
Sasa mbona yanga anajibondea au hizo timu zikicheza na yanga hazitaki point tatu?
 
Max yupi mkuu huyu huyu aliyebakiza kuchomeka ..em nikae kimya kagera sugar wasije wakaliamsha
 
Kwa mara kwanza unaanzisha thread bila kutaja ushirikina, hongera sana mkuu.
 
Hii Simba kuna siku itakuja kupata matokeo mabovu kwa mfululizo na watu hawataamini.
 
Ulaya timu kama Man City, Madrid, Bayern inacheza ligi Jmosi au J2 na J4 au J5 anaingia kucheza UEFA, tena ni robo fainal UEFA au nusu.

Ni Tanzania pekee ndo kuna malalamiko ya wachezaji eti kupumzika wiki nzima ili kujiandaa na game ijayo.
 
PAPATUPAPATU SPORTS CLUB....
WOYEEEEEEEEE
 
Uko sahihi, nadhan hata Kocha wetu Bado hajapata pattern nzuri , sjui kwann anakosa Iman kwa wachezaji wengine kama Chasambi, Miqusson ,af kila Mechi naendelea kuwa na Iman na Saido hata kama Mchango wake umepungua.
 
Sasa mbona yanga anajibondea au hizo timu zikicheza na yanga hazitaki point tatu?
Mpira ndio ulivyo Mkuu Tabora alifungwa moja bila na yanga ila simba akashinda 4 kwaiyo si kila mda mambo yafanane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…