.Kama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.......
Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini ......linaingia jini" kwamba hakuna ambaye mdhaifu.... .
Ikumbukwe ni hii Dodoma jiji aliyocheza na SIMBA
Angalia ball possession kati ya WANANCHI na Dodoma jiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji113]
👆👆👆👆👆😝😝😝😝😝Kama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.......
Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini ......linaingia jini" kwamba hakuna ambaye mdhaifu.... .
Ikumbukwe ni hii Dodoma jiji aliyocheza na SIMBA
Angalia ball possession kati ya WANANCHI na Dodoma jiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji113]
View attachment 2064358
Mkuu.....Kama uliangalia mpira .....utakubaliana na Mimi......Kama hujaangalia basi nakuomba angalia marudio yakeEbu acheni utani jamani. Yaani unataka kusema man city hii ya pep ni sawa na utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] u on drugs mate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana ata mpige pass 2000 huwezi compare yanga na man city ya pep. Ule mziki mwengine kabisa.Mkuu.....Kama uliangalia mpira .....utakubaliana na Mimi......Kama hujaangalia basi nakuomba angalia marudio yake
Zinapigwa hadi pass 1000/sc
Hapana mkuu.......SIMBA msikate tamaa mapema.....bado mna muda .....endeleeni kupambana[emoji23][emoji23]Kwakweli nawapongeza sana Uto watani zetu.
mnaonyesha kuimarika kila angle,japo wachezaji wa Dodoma wameonyesha kama wamechoka sana au awakula chakula jana na leo sijui ni misumari au ni mchongo.
ila yote kwa yote huu ndo mwaka wenu wa kubeba ubingwa mkijikwaa msimu huu sahauni ubingwa mabwege nyinyi[emoji23][emoji23](jockes)
Pole sanaNdio shida za mtu upo bar umekunywa pombe za kununuliwa, unawaka kidogo unakurupuka kuanzisha thread.