Sikubaliani na hoja kuwa uropokaji wa Lissu ndio sababu, in actual fact, Lissu anaisaidia Nchi kuwa na muelekeo utakao kubalika na wengi Duniani....Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Huu ujinga muachage kwann kila kukicha tunaomba misaada kwa wafadhil? Ni vizr kujiuliza nan katufikisha hapa mpka tuwe ombaombaNchi hii ni tajiri sana ndugu zangu, tuache kujikomba kwa ajili ya misaada.
Pinga hoja za lissu kwa hoja, Usiseme karopoka wakat hujaainisha huo uropokaj unaodaiLegacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Moja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Kwani ni uongo hii nchi sio tajiri?Huu ujinga muachage kwann kila kukicha tunaomba misaada kwa wafadhil? Ni vizr kujiuliza nan katufikisha hapa mpka tuwe ombaomba
Unataka kunambia hadi mwanamke mwenzie Khamala kashindwa kumuona wakabadilishana mawazo...anakome kuonana na makamu wa rais wamwake wa nchi tena za kiafrika. Hata Angella Merkel....yaani gender imeshindwa kupenetrate wenzetu wanaangalia democracy na usawa tu na haki. Wao usawa sio gender bali ni matendo na mienendoMoja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
We are talking about the current situation.Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..