Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Rais wa tozo kawa mjumbe mdogo USA
 
Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Ww ni kichaa labda........
Magu siku nyingi alishakufa
 
Na angekutana na Kamara Harriss angetamba hatari, believe me Kama angefata Democracy angekutana na Kamara ata na Angela Meker( sjui nimepatia spelling)
 
Jiwe kaacha legacy ambay ni ngumu kufutika na alikuwa mwamba anayeishi ndani ya watu na sio ndani ya tozo
Legacy ya Magu ni nzuri sana.......
kila siku mtaendelea kuwa watumwa kuwa omba omba mnarudi kule mliko toka.....
hamna fikra nyinyi
 
Nilishangaa kiongozi mkubwa wa machifu anapokelewa na genge la makahaba likiongozwa na mangekimavi
Kwani hao unawaita makahaba si watanzania. Neno kahaba si zuri kulitumia kwa watu ambao huwafahamu vizuri . Kukutana na watanzania wa ngazi mbali mbali ni dalili njema ambazo Rais wetu anazionyesha, anataka kujenga Tanzania ya watu wanaojiamini na kutumia nguvu ya hoja katika utawala wake.
 
Namuonea Huruma sana Mama angu mpenzi Nampenda sana huyu mama lkn ccm wenzake wanampelekesha ovyo sana hili kesi la mbowe litamtia gundu sana huko US au Europe kwa ujumla.
 
Kubalini kwanza kujitegemea, huwezi kunambia unajivunia kuombaomba na mikopo. Huyu jk unamsifia ndo wikipedia walimwita "failed president" leo unataka kutwambia nn? Nani aling'oa watu kucha na kuwatupa mabwe pande? Ni nani alidhurumu pesa za watu hadi wazee kulala barabarani uchi wakiilani serikali? Kama tulikuwa tunasaidiwa ilikuwaje tukawa na escrow? ..poor brain!
 
Kila siku hao wadangaji wanatupia picha za uchi mitandaoni za matangazo ya biashara kama hujui kakojoe urare
 
Namuonea Huruma sana Mama angu mpenzi Nampenda sana huyu mama lkn ccm wenzake wanampelekesha ovyo sana hili kesi la mbowe litamtia gundu sana huko US au Europe kwa ujumla.
Hakuna kumuonea huruma na yeye Yuko nyuma ya hili refer interview with BBc
 
wee legeza tako dawa ikuingie, sindano isivunjike. Tulia mwanamke mwenzako akuongoze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…