Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Hahaaa , yaani hata Kamala muhaya wa hapa katerelo kabisa kagoma kukutana na chief Hangaya the great actor basi tumechokwa, kwakweli tujitafakari sana
 
si kweli, labda wewe na matatizo yako
 
Huyu bibi angekuwa anajielewa asingeenda, ni aibu tupu
 
Hahaaa , yaani hata Kamala muhaya wa hapa katerelo kabisa kagoma kukutana na chief Hangaya the great actor basi tumechokwa, kwakweli tujitafakari sana
Ndo hivyo mkuu
 
kwamba heshima ni kupendwa na US NA watu wa ulaya tu?

kama ni ndio basi china, urusi na north korea haziheshimiki duniani.
 
Ila kuna Balozi wetu wa kudumu UN hivi sasa ndiyo Makamo wa Rais wa huu mkutano wa UNGA na ndiyo anaeuongoza mkutano huo,hii ni heshima tosha kwa Taifa..
 
Rest In Peace Magufuli, I cannot imagine siku ambayo ungefika huko watu wangeuana kwa kukanyagana. You are a hero. May Your Soul Continue to Rest In Peace Amen!
 
Ukipata uongozi kwa njia ya Haki kila mtu atakuheshimu , utaalikwa na kila mwenye akili timamu na hasa kama Utawasamehe wote waliokufanyia unyama , huku ukisisitiza Demokrasia ya kweli kwenye Nchi yako hata Mungu atakulinda .

Wakati wengine wakipambana kwa njia za Panya ili kuingia Ikulu ya Marekani , Haikainde Hichilema yeye ametafutwa na Ikulu yenyewe ya Marekani . Hili ni fundisho kubwa sana kwa waafrika..
Tusubiri Mama Samia akapige picha na Mange Kimambi..
 
Sikubaliani na hoja kuwa uropokaji wa Lissu ndio sababu, in actual fact, Lissu anaisaidia Nchi kuwa na muelekeo utakao kubalika na wengi Duniani....
Hawezi kukuelewa. Mfano kaacha Jambo kubwa sana lililoharibu thamani yetu utekaji mauwaji na kupigwa Lisu risasi
 
Inatia kichefuchefu kjona kuna watu leo bado wana mawazo ya kujikomba kwa mabeberu ili kjdowea misaada!! Ni aibu iliyoje? Hatutaki misaada, kinyume chake tuanze kujipanga kutoa misaada hata kwa hao mabeberu! Hesnima haitokani na kupewa misaada kinyume chake kudharauliwa kunatokana na kupewa misaada!! Misaada haiwezi kukufanya utembee kifua mbele bali itafunika uso wako na aibu!!
 
Nchi hii ni tajiri sana ndugu zangu, tuache kujikomba kwa ajili ya misaada.
Ukiona Neno Linazungumzwa Sana hili Kujikomba Komba. Inabidi Uanze Pia Kujiuliza Mara Mbili Pia. Tusifuate tu Mkumbo. Nchi yako Ni masikini Ingekuwa Tajiri Usingeongea neno kujikomba ungekuwa Unatoa ww Misaada Nchi zingine

Kula Ya Wananchi wako ni Shida Unaanza Kusema Nchi Tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…