Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Jipange sasa
 
Ila wabongo kila kitu twajifanya twajua... Ww una uhakika gan km Samia kakataliwa kukutana na biden au kamala? Hv ikitokea kabla hajarud wakaonana utasemaj juu ya hoja yako hyo!!! Nyie nyie ndio mlosema mama hatokutana na wakuu wenzake wa nchi wala kuhutubia UNGA. Hapa times Square picha za mama zko kwny billboard
 
Tutokeje wakati hata toothpicks Ni made in china
Sasa mkuu, kwa mfano huo wa "toothpick" ulioutoa hapa, hivi kweli bado unaamini misaada ndiyo itakayotuta hapa na kutupeleka mbele?

Kwa nini tusijadili hoja muhimu zaidi ya umaskini wetu uliomo vichwani mwetu kuliko kukimbilia kupata misaada?
 
Mlipopata heshima je wananchi wenu walinufaika nini na hiyo heshima?

Unapewa heshima bila maisha mazuri kwa wananchi hiyo heshima mplekeni mjumbani kwenu.
Jinga kweli JK alikuwa anaajiri almost watumishi 60k per year, sahivi mkiajiri 10k Hadi mfanye press[emoji1][emoji1]
 
Acha tu mkuu
 
Anae injinia ukandamizaji wa demokrasi Tanzania ameiingia nchi Chaka sana

Tumechafuka mbaya tunajikomba hawatutaki

Rudisheni mifumo ya demokrasia otherwise tutatupwa kwenye shimo la kinyesi kama Taifa "Shithole country"
Yaani hawajifunzi Ila SSH atakuwa kajifunza
 
Sisiemu wanaelewa basi
 
Watu kam niny ndio mko tayar kuiuza nchi kwa mabeberu,endeleen kujiabisha kweny nchi za watu .Hichilema ni mwamba
Bora nchi iuzwe kwa wazungu ili watutawale tu maana angalau wanathamini utu kuliko hawa weusi tulionao sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…